Ni riwaya ambayo mbali na kusimulia chimbuko la ufisadi;
- inapiga msasa masuala ibuka
- mathalan
- biashara haramu ya kuuza nyeti za zeruzeru
- kuteswa kwa wafanyakazi wa nyumbani katika mataifa ya ng'ambo
- Athari za teknohana katika mitandao ya kijamii hususan Facebook na Twitter.