KAMUSI ELEZI YA KISWAHILI (Code: )

  • Vidahizo vipatavyo 45,000
  • Maneno mapya yapatayo 1,000
  • Jopo la wataalamu wenye tajiriba kutoka Kenya, Tanzania na Japani
  • Matamshi murua ya kifonemiki kulingana na Alfabeti ya Kifonetiki ya Kimataifa
  • Maelezo kamilifu ya vidahizo bila kutegemea visawe
  • Ufafanuzi wa kipekee wa methali, misemo na nahau
  • Kuhusishwa kwa dhana mpya za teknolojia na sayansi
  • Msamiati mpya wa samaki na vyombo vya bahari
  • Mifano mwafaka yenye kushadidia maana
  • Michoro na picha maridhawa zinazooana na maelezo
Price: 800.00 KES
Quantity in stock: 1
Quantity:
Copyright www.webdesigner-profi.de MAXXmarketing GmbH

Contact Us

location Head Office, Enterprise Rd. Industrial Area

mail P.O. Box 30533 00100 Nairobi, Kenya.

tel(+254) 203583925,202329987,20654789
202330002/3

no 0723-286993, 0723-969793, 0735-339135

mail info@jkf.co.ke / complaints@jkf.co.ke

Newsletter